Mwanzo 15:4
Mwanzo 15:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndipo Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Huyu hatakuwa mrithi wako! Mwanao halisi ndiye atakayekuwa mrithi wako.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 15Mwanzo 15:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nalo neno la BWANA likamjia likinena, Huyu hatakurithi, bali utakayemzaa ndiye atakayekurithi.
Shirikisha
Soma Mwanzo 15