Mwanzo 15:2
Mwanzo 15:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Abramu akasema, “Ee Mwenyezi-Mungu, utanipa nini hali naendelea kuishi bila mtoto, na mrithi wangu ni Eliezeri wa Damasko?
Shirikisha
Soma Mwanzo 15Mwanzo 15:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Abramu akasema, Ee Bwana MUNGU, utanipa nini, nami naenda zangu hali sina mtoto, na atakayeimiliki nyumba yangu ni huyu Eliezeri, Mdameski?
Shirikisha
Soma Mwanzo 15