Mwanzo 15:13
Mwanzo 15:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo Mwenyezi-Mungu akamwambia Abramu, “Ujue hakika ya kwamba wazawa wako watakaa kama wageni katika nchi isiyo yao, watakuwa watumwa na watateswa kwa muda wa miaka 400.
Shirikisha
Soma Mwanzo 15Mwanzo 15:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akamwambia Abramu, Ujue hakika ya kwamba uzao wako utakuwa mgeni katika nchi isiyo yake, watawatumikia watu wale, nao watateswa kwa muda wa miaka mia nne.
Shirikisha
Soma Mwanzo 15