Mwanzo 14:20
Mwanzo 14:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Na atukuzwe Mungu Mkuu, aliyewatia adui zako mikononi mwako!” Naye Abramu akampa Melkisedeki mchango wake sehemu ya kumi ya vitu vyote alivyokuwa navyo.
Shirikisha
Soma Mwanzo 14Mwanzo 14:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ahimidiwe Mungu Aliye Juu Sana, aliyewatia adui zako mikononi mwako. Abramu akampa fungu la kumi la vitu vyote.
Shirikisha
Soma Mwanzo 14