Mwanzo 13:8
Mwanzo 13:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Abramu akamwambia Loti, “Kusiwe na mafarakano kati yetu wala kati ya wachungaji wako na wachungaji wangu, kwa sababu sisi ni jamaa moja.
Shirikisha
Soma Mwanzo 13Mwanzo 13:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Abramu akamwambia Lutu, Basi, usiwepo ugomvi, nakusihi, kati yangu na wewe, wala kati ya wachungaji wangu na wachungaji wako; maana sisi tu jamaa moja.
Shirikisha
Soma Mwanzo 13