Mwanzo 12:2-3
Mwanzo 12:2-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, nitakubariki na kulikuza jina lako, nawe uwe baraka. Anayekubariki, nitambariki; anayekulaani, nitamlaani. Kwako wewe, nitayabariki mataifa yote ya dunia.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 12Mwanzo 12:2-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
nami nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, na kukubariki, na kulikuza jina lako; nawe uwe baraka; nami nitawabariki wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani; na katika wewe jamaa zote za dunia watabarikiwa.
Shirikisha
Soma Mwanzo 12