Mwanzo 11:4
Mwanzo 11:4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Wakasema, Haya, na tujijengee mji, na mnara, na kilele chake kifike mbinguni, tujifanyie jina; ili tusipate kutawanyika usoni pa nchi yote.
Shirikisha
Soma Mwanzo 11Mwanzo 11:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakasema, “Na tujijengee mji na mnara ambao kilele chake kitafika mbinguni ili tujipatie jina, tusije tukatawanyika duniani kote.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 11