Wagalatia 5:13
Wagalatia 5:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Nyinyi ndugu, mliitwa muwe watu huru. Lakini uhuru huo usiwe kisingizio cha kutawaliwa na tamaa za kidunia; ila mnapaswa kutumikiana kwa upendo.
Shirikisha
Soma Wagalatia 5Wagalatia 5:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana ninyi, ndugu, mliitwa mpate uhuru; lakini uhuru wenu usiwe sababu ya kuufuata mwili, bali tumikianeni kwa upendo.
Shirikisha
Soma Wagalatia 5Wagalatia 5:13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Maana ninyi, ndugu, mliitwa mpate uhuru; lakini uhuru wenu usiwe sababu ya kuufuata mwili, bali tumikianeni kwa upendo.
Shirikisha
Soma Wagalatia 5