Wagalatia 1:15
Wagalatia 1:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Mungu, kwa neema yake, alikuwa ameniteua hata kabla sijazaliwa, akaniita nimtumikie.
Shirikisha
Soma Wagalatia 1Wagalatia 1:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini Mungu, aliyenitenga tangu tumboni mwa mama yangu, akaniita kwa neema yake
Shirikisha
Soma Wagalatia 1