Ezra 9:6
Ezra 9:6 Biblia Habari Njema (BHN)
nikisema, “Ee Mungu wangu, naona aibu kubwa sana kukiinua kichwa changu mbele yako. Dhambi zetu zimerundikana kupita hata vichwa vyetu; naam, makosa yetu yanafika hata mbinguni.
Shirikisha
Soma Ezra 9Ezra 9:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
nikasema, Ee Mungu wangu, nimetahayari, naona haya kuinua uso wangu mbele zako, Mungu wangu; kwa maana maovu yetu ni mengi, hata yamefika juu ya vichwa vyetu, na hatia yetu imeongezeka na kufika mbinguni.
Shirikisha
Soma Ezra 9