Ezra 8:1
Ezra 8:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi hawa ndio wakuu wa koo za baba zao, na hii ndiyo nasaba ya wale waliokwea pamoja nami kutoka Babeli, wakati wa kutawala kwake mfalme Artashasta.
Shirikisha
Soma Ezra 8Ezra 8:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Ifuatayo ni orodha ya viongozi wa koo za watu waliorudi pamoja nami Ezra kutoka Babuloni, wakati wa utawala wa mfalme Artashasta
Shirikisha
Soma Ezra 8Ezra 8:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi hawa ndio wakuu wa koo za baba zao, na hii ndiyo nasaba ya wale waliokwea pamoja nami kutoka Babeli, wakati wa kutawala kwake mfalme Artashasta.
Shirikisha
Soma Ezra 8