Ezra 4:4
Ezra 4:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo, watu waliokuwa wanaishi mahali hapo wakaanza kuwavunja moyo na kuwatisha Wayahudi ili wasiendelee kama walivyokusudia.
Shirikisha
Soma Ezra 4Ezra 4:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo wakazi wa nchi wakawavunja moyo watu wa Yuda, wakawafanya wawe na hofu ya kujenga.
Shirikisha
Soma Ezra 4