Ezra 4:24
Ezra 4:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Kazi ya kuijenga upya nyumba ya Mungu mjini Yerusalemu ilisimama, na hali hiyo iliendelea mpaka mwaka wa pili wa utawala wa Dario, mfalme wa Persia.
Shirikisha
Soma Ezra 4Ezra 4:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hivyo kazi ya nyumba ya Mungu iliyoko Yerusalemu ikakoma; nayo ikakoma hadi mwaka wa pili wa kutawala kwake Dario, mfalme wa Uajemi.
Shirikisha
Soma Ezra 4