Ezekieli 39:29
Ezekieli 39:29 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitakapowamiminia Waisraeli roho yangu, sitageuka tena wasinione. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Shirikisha
Soma Ezekieli 39Ezekieli 39:29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
wala sitawaficha uso wangu tena; kwa maana nimemwaga roho yangu juu ya nyumba ya Israeli, asema Bwana MUNGU.
Shirikisha
Soma Ezekieli 39