Ezekieli 39:28
Ezekieli 39:28 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha watatambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu, Mungu wao, kwa sababu mimi niliwapeleka uhamishoni kati ya mataifa na kuwarudisha tena katika nchi yao. Sitamwacha hata mtu wao abaki miongoni mwa mataifa.
Shirikisha
Soma Ezekieli 39Ezekieli 39:28 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nao watajua ya kuwa mimi ndimi BWANA, Mungu wao, kwa kuwa niliwahamisha, waende utumwani kati ya mataifa, na mimi nikawakusanya, na kuwaingiza katika nchi yao wenyewe; wala sitawaacha tena huko kamwe, hata mmojawapo
Shirikisha
Soma Ezekieli 39Ezekieli 39:28 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nao watajua ya kuwa mimi ndimi BWANA, Mungu wao, kwa kuwa naliwahamisha, waende utumwani kati ya mataifa, na mimi nikawakusanya, na kuwaingiza katika nchi yao wenyewe; wala sitawaacha tena huko kamwe, hata mmojawapo
Shirikisha
Soma Ezekieli 39