Ezekieli 37:6
Ezekieli 37:6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nami nitatia mishipa juu yenu, nami nitaleta nyama iwe juu yenu, na kuwafunika ngozi, na kutia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi; nanyi mtajua ya kuwa mimi ndimi BWANA.
Shirikisha
Soma Ezekieli 37Ezekieli 37:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitawatia mishipa na nyama, nitawafunika ngozi na kutia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi. Hapo mtajua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu.”
Shirikisha
Soma Ezekieli 37