Ezekieli 33:7
Ezekieli 33:7 Biblia Habari Njema (BHN)
“Basi, ewe mtu, nimekuweka kuwa mlinzi wa Waisraeli. Utakaposikia neno kutoka kwangu utawapa onyo langu.
Shirikisha
Soma Ezekieli 33Ezekieli 33:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi wewe, mwanadamu, nimekuweka kuwa mlinzi kwa nyumba ya Israeli; basi ulisikie neno hili kinywani mwangu, ukawape maonyo yangu.
Shirikisha
Soma Ezekieli 33