Ezekieli 3:19
Ezekieli 3:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini, ukimwonya mtu huyo mwovu naye hauachi uovu wake au njia yake potovu, mtu huyo atakufa kwa uovu wake, lakini wewe utakuwa umeyaokoa maisha yako.
Shirikisha
Soma Ezekieli 3Ezekieli 3:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini ukimwonya mtu mwovu, wala yeye hauachi uovu wake, wala njia yake mbaya, atakufa katika uovu wake; bali wewe umejiokoa roho yako.
Shirikisha
Soma Ezekieli 3