Ezekieli 3:17
Ezekieli 3:17 Biblia Habari Njema (BHN)
“Wewe mtu nimekuweka kuwa mlinzi wa Waisraeli. Kila utakaposikia neno kutoka kwangu utawaonya watu kwa niaba yangu.
Shirikisha
Soma Ezekieli 3Ezekieli 3:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwanadamu, nimekuweka kuwa mlinzi wa nyumba ya Israeli; basi, sikia neno hili litokalo katika kinywa changu, ukawape maonyo haya yatokayo kwangu.
Shirikisha
Soma Ezekieli 3