Ezekieli 27:24
Ezekieli 27:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Hao walifanya nawe biashara ya mavazi ya fahari, nguo za buluu zilizotariziwa, mazulia ya rangi angavu vifundo na kamba zilizosokotwa imara.
Shirikisha
Soma Ezekieli 27Ezekieli 27:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hao ndio waliokuwa wachuuzi wako, kwa vitu vya tunu, kwa vitumba vya nguo za samawati na kazi ya taraza, na masanduku ya mavazi ya thamani, yaliyofungwa kwa kamba, na kufanyizwa kwa mti wa mierezi, katika bidhaa yako.
Shirikisha
Soma Ezekieli 27Ezekieli 27:24 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Hao ndio waliokuwa wachuuzi wako, kwa vitu vya tunu, kwa vitumba vya nguo za samawi na kazi ya taraza, na masanduku ya mavazi ya thamani, yaliyofungwa kwa kamba, na kufanyizwa kwa mti wa mierezi, katika bidhaa yako.
Shirikisha
Soma Ezekieli 27