Ezekieli 20:49
Ezekieli 20:49 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha nami nikasema, “Ee Bwana Mwenyezi-Mungu! Watu wanalalamika juu yangu na kusema: ‘Huyu akisema, ni mafumbo tu!’”
Shirikisha
Soma Ezekieli 20Ezekieli 20:49 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo nikasema, Ee Bwana MUNGU, wao hunisema; Je! Mtu huyu si mtu mwenye kupiga mithali?
Shirikisha
Soma Ezekieli 20