Ezekieli 18:31
Ezekieli 18:31 Biblia Habari Njema (BHN)
Tupilieni mbali dhambi mlizonitendea; jipatieni moyo na roho mpya. Enyi Waisraeli, ya nini mfe?
Shirikisha
Soma Ezekieli 18Ezekieli 18:31 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tupilieni mbali nanyi makosa yenu yote mliyoyakosa; jifanyieni moyo mpya na roho mpya; mbona mnataka kufa, enyi nyumba ya Israeli?
Shirikisha
Soma Ezekieli 18