Ezekieli 18:23
Ezekieli 18:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Je, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu, nafurahia kufa kwake mtu mwovu? La hasha! Mimi napendelea aachane na njia zake mbaya apate kuishi.
Shirikisha
Soma Ezekieli 18Ezekieli 18:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Je! Mimi ninafurahia kufa kwake mtu mwovu? Asema Bwana MUNGU; si afadhali kwamba aghairi, na kuiacha njia yake, akaishi?
Shirikisha
Soma Ezekieli 18