Ezekieli 16:60
Ezekieli 16:60 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini mimi nitalikumbuka agano langu nililoagana nawe katika siku za ujana wako. Nitafanya nawe agano la milele.
Shirikisha
Soma Ezekieli 16Ezekieli 16:60 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Walakini nitalikumbuka agano langu nililolifanya pamoja nawe, katika siku za ujana wako, nami nitaweka imara agano la milele pamoja nawe.
Shirikisha
Soma Ezekieli 16