Ezekieli 15:8
Ezekieli 15:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa kuwa wamekosa uaminifu kwangu, nitaifanya nchi yao kuwa ukiwa. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Shirikisha
Soma Ezekieli 15Ezekieli 15:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami nitaifanya nchi kuwa ukiwa, kwa sababu wamekosa, asema Bwana MUNGU.
Shirikisha
Soma Ezekieli 15