Ezekieli 14:5
Ezekieli 14:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitaigusa mioyo ya Waisraeli ili wanirudie, kwani wamejitenga mbali nami kwa kuabudu sanamu zao za miungu.
Shirikisha
Soma Ezekieli 14Ezekieli 14:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
ili niwakamate nyumba ya Israeli kwa mioyo yao wenyewe, kwa sababu wamefarakana nami kwa vinyago vyao.
Shirikisha
Soma Ezekieli 14