Ezekieli 13:6
Ezekieli 13:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Maono yao ni ya uongo mtupu na wanachotabiri ni udanganyifu mtupu. Hudai kwamba wanasema kwa niaba yangu mimi Mwenyezi-Mungu, lakini mimi sikuwatuma; kisha wananitazamia nitimize wanayosema.
Shirikisha
Soma Ezekieli 13Ezekieli 13:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wameona ubatili, na uganga wa uongo, hao wasemao, BWANA asema; lakini BWANA hakuwatuma; nao wamewapa watu tumaini ya kuwa neno lile litatimizwa.
Shirikisha
Soma Ezekieli 13