Kutoka 9:16
Kutoka 9:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini nimewaacheni muishi ili kudhihirisha uwezo wangu. Kwa hiyo dunia yote itatambua kuwa mimi ni nani.
Shirikisha
Soma Kutoka 9Kutoka 9:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
lakini, nilikusimamisha wewe kwa sababu ii hii, ili nikuoneshe uweza wangu, tena kwamba jina langu litangazwe katika dunia yote.
Shirikisha
Soma Kutoka 9