Kutoka 9:1
Kutoka 9:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Nenda kwa Farao ukamwambie kwamba mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Waebrania, nasema, ‘Waache watu wangu waondoke ili wakanitumikie.
Shirikisha
Soma Kutoka 9Kutoka 9:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo BWANA akamwambia Musa, Ingia wewe kwa Farao, umwambie, BWANA, Mungu wa Waebrania, yuasema, Wape ruhusa watu wangu ili waende wanitumikie.
Shirikisha
Soma Kutoka 9