Kutoka 8:24
Kutoka 8:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu akafanya kama alivyosema: Makundi makubwa ya nzi yakaivamia nyumba ya Farao, nyumba za maofisa wake na nchi nzima ya Misri. Nchi nzima ya Misri ikaharibiwa na nzi hao.
Shirikisha
Soma Kutoka 8Kutoka 8:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akafanya; wakaja inzi wengi kwa uzito sana, wakaingia nyumbani mwa Farao, na katika nyumba za watumishi wake, tena katika nchi yote ya Misri; nayo nchi iliharibiwa na wale inzi.
Shirikisha
Soma Kutoka 8