Kutoka 8:16
Kutoka 8:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha, Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Mwambie Aroni anyoshe fimbo yake na kuyapiga mavumbi, nayo yatageuka kuwa viroboto kote nchini Misri.”
Shirikisha
Soma Kutoka 8Kutoka 8:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akamwambia Musa, Mwambie Haruni, Nyosha fimbo yako, ukayapige mavumbi ya nchi, ili kwamba yawe chawa katika nchi yote ya Misri.
Shirikisha
Soma Kutoka 8