Kutoka 8:15
Kutoka 8:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Farao alipoona kwamba nchi imepata nafuu, akawa mkaidi tena, wala hakuwasikiliza Mose na Aroni, kama Mwenyezi-Mungu alivyokuwa amesema.
Shirikisha
Soma Kutoka 8Kutoka 8:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini Farao alipoona ya kuwa pana nafuu, akaufanya moyo wake kuwa mzito, asiwasikize; kama BWANA alivyonena.
Shirikisha
Soma Kutoka 8