Kutoka 8:1
Kutoka 8:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akamwambia Musa, Ingia kwa Farao, ukamwambie, BWANA asema hivi, Wape watu wangu ruhusa, ili wapate kunitumikia.
Shirikisha
Soma Kutoka 8Kutoka 8:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Nenda kwa Farao ukamwambie Mwenyezi-Mungu asema hivi: Waache watu wangu waondoke ili wanitumikie.
Shirikisha
Soma Kutoka 8