Kutoka 7:13
Kutoka 7:13 Neno: Maandiko Matakatifu 2024 (NENO)
Hata hivyo, moyo wa Farao ukawa mgumu, naye hakuwasikiliza Musa na Haruni, kama vile Mwenyezi Mungu alivyokuwa amesema.
Shirikisha
Soma Kutoka 7Kutoka 7:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Hata hivyo, moyo wa Farao bado ulibaki kuwa mgumu, wala hakuwasikiliza; ikawa kama alivyosema Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Kutoka 7Kutoka 7:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Moyo wa Farao ukawa ni mgumu asiwasikize; kama BWANA alivyonena.
Shirikisha
Soma Kutoka 7