Kutoka 5:1
Kutoka 5:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Baadaye, Mose na Aroni walimwendea Farao, wakamwambia, “Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli anasema hivi, ‘Waache watu wangu waondoke, wakanifanyie sikukuu jangwani.’”
Shirikisha
Soma Kutoka 5Kutoka 5:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hata baadaye, Musa na Haruni wakaenda wakamwambia Farao, wakasema, BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, Wape watu wangu ruhusa waende, ili kunifanyia sikukuu jangwani.
Shirikisha
Soma Kutoka 5