Kutoka 4:11
Kutoka 4:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo Mwenyezi-Mungu akamwuliza, “Ni nani aliyeumba kinywa cha mtu? Ni nani amfanyaye mtu kuwa bubu au kiziwi? Aone au awe kipofu? Je, si mimi Mwenyezi-Mungu?
Shirikisha
Soma Kutoka 4Kutoka 4:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akamwambia, Ni nani aliyekifanya kinywa cha mwanadamu? Au ni nani afanyaye mtu kuwa bubu au kiziwi, au mwenye kuona, au kuwa kipofu? Si mimi, BWANA?
Shirikisha
Soma Kutoka 4