Kutoka 4:1
Kutoka 4:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Mose akamwambia Mungu, “Lakini Waisraeli hawataniamini wala kunisikiliza, bali watasema kuwa wewe Mwenyezi-Mungu hukunitokea.”
Shirikisha
Soma Kutoka 4Kutoka 4:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Musa akajibu akasema, Lakini, tazama, hawataniamini, wala hawataisikia sauti yangu; maana watasema, BWANA hakukutokea.
Shirikisha
Soma Kutoka 4