Kutoka 3:5
Kutoka 3:5 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Naye akasema, Usikaribie hapa; vua viatu vyako miguuni mwako; maana mahali hapo unaposimama ni nchi takatifu.
Shirikisha
Soma Kutoka 3Kutoka 3:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Usije karibu! Vua viatu vyako kwa sababu mahali unaposimama ni mahali patakatifu.”
Shirikisha
Soma Kutoka 3