Kutoka 3:12
Kutoka 3:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu akamwambia, “Mimi nitakuwa pamoja nawe. Utawatoa watu wa Israeli na kuja kuniabudu mimi Mungu juu ya mlima huu. Hiyo itakuwa ishara kwamba ni mimi Mungu niliyekutuma wewe.”
Shirikisha
Soma Kutoka 3Kutoka 3:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akasema, Bila shaka mimi nitakuwa pamoja nawe; na dalili ya kuwa nimekutuma ndiyo hii; utakapokuwa umekwisha kuwatoa hao watu katika Misri, mtamwabudu Mungu katika mlima huu.
Shirikisha
Soma Kutoka 3