Kutoka 28:3
Kutoka 28:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Waagize mafundi wote ambao nimewapa maarifa wamtengenezee Aroni mavazi ili awekwe wakfu kwa ajili ya kazi ya ukuhani.
Shirikisha
Soma Kutoka 28Kutoka 28:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nawe utawaambia watu wote wenye uwezo wa hali ya juu, niliowapa ubingwa wamfanyie Haruni mavazi ili awekwe wakfu anitumikie katika kazi ya ukuhani.
Shirikisha
Soma Kutoka 28