Kutoka 26:33
Kutoka 26:33 Biblia Habari Njema (BHN)
Utalitundika pazia hilo kwenye vifungo, kisha ulilete lile sanduku la ushuhuda humo ndani kukiwa na vibao viwili vya mawe, nyuma ya pazia hilo. Pazia hilo litatenga mahali patakatifu na mahali patakatifu sana.
Shirikisha
Soma Kutoka 26Kutoka 26:33 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nawe tungika lile pazia chini ya vile vifungo, nawe lete lile sanduku la ushuhuda na kulitia humo nyuma ya pazia; na lile pazia litawagawanyia kati ya patakatifu, na mahali patakatifu sana.
Shirikisha
Soma Kutoka 26