Kutoka 23:19
Kutoka 23:19 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mazao ya kwanza ya ardhi yako utayaleta nyumbani kwangu mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako. “Usimchemshe mwanakondoo au mwanambuzi katika maziwa ya mama yake.
Shirikisha
Soma Kutoka 23Kutoka 23:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ya kwanza ya malimbuko ya nchi yako utayaleta na kuyatia ndani ya nyumba ya BWANA, Mungu wako. Usimtokose mwana-mbuzi katika maziwa ya mama yake.
Shirikisha
Soma Kutoka 23