Kutoka 21:23-25
Kutoka 21:23-25 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini kama yatakuwapo madhara mengine, basi, lazima amlipe uhai kwa uhai, jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu, kuchomwa moto kwa kuchomwa moto, jeraha kwa jeraha, na pigo kwa pigo.
Shirikisha
Soma Kutoka 21Kutoka 21:23-25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini kwamba pana madhara zaidi, ndipo utatoza uhai kwa uhai, jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu, kuteketeza kwa kuteketeza, jeraha kwa jeraha, chubuko kwa ajili ya chubuko.
Shirikisha
Soma Kutoka 21