Kutoka 2:8
Kutoka 2:8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Binti Farao akamwambia, Haya! Enenda. Yule kijana akaenda akamwita mama yake yule mtoto.
Shirikisha
Soma Kutoka 2Kutoka 2:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Binti Farao akamwambia, “Naam; nenda.” Basi, huyo msichana akaenda, akamwita mama yake huyo mtoto.
Shirikisha
Soma Kutoka 2