Kutoka 2:7
Kutoka 2:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Papo hapo dada yake yule mtoto akajitokeza, akamwambia binti Farao, “Je, niende nikakutafutie yaya miongoni mwa wanawake wa Kiebrania akulelee mtoto huyu?”
Shirikisha
Soma Kutoka 2Kutoka 2:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi dada yake mtoto akamwambia binti Farao, Je! Niende nikamwite mlezi katika wanawake wa Kiebrania, aje kwako, akunyonyeshee mtoto huyu?
Shirikisha
Soma Kutoka 2