Kutoka 2:4
Kutoka 2:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Dada yake huyo mtoto akajificha karibu na mahali hapo ili aone yatakayompata nduguye.
Shirikisha
Soma Kutoka 2Kutoka 2:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Dada yake mtoto akasimama mbali ili ajue yatakayompata.
Shirikisha
Soma Kutoka 2