Kutoka 2:2
Kutoka 2:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, mama huyu akapata mimba, akajifungua mtoto wa kiume. Alipoona kwamba mtoto huyo mchanga alikuwa mzuri, akamficha kwa muda wa miezi mitatu.
Shirikisha
Soma Kutoka 2Kutoka 2:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yule mwanamke akachukua mimba akazaa mwana, na alipoona ya kuwa ni mtoto mzuri akamficha miezi mitatu.
Shirikisha
Soma Kutoka 2