Kutoka 2:11
Kutoka 2:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Siku moja, Mose alipokuwa mtu mzima, aliwaendea Waebrania wenzake ili kujionea taabu zao. Basi, akamwona Mmisri mmoja anampiga Mwebrania, mmoja wa ndugu zake Mose.
Shirikisha
Soma Kutoka 2Kutoka 2:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hata siku zile, Musa alipokuwa mtu mzima, akatoka kuwaendea ndugu zake, akatazama mizigo yao. Akamwona Mmisri anampiga Mwebrania, mmojawapo wa ndugu zake.
Shirikisha
Soma Kutoka 2