Kutoka 19:5
Kutoka 19:5 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Sasa basi ikiwa mtaitii sauti yangu kweli kweli, na kulishika agano langu, hapo ndipo mtakapokuwa tunu kwangu kuliko makabila yote ya watu; maana dunia yote pia ni mali yangu
Shirikisha
Soma Kutoka 19Kutoka 19:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Sasa basi, kama mkiitii sauti yangu na kulishika agano langu, mtakuwa watu wangu wateule kati ya mataifa yote, maana dunia yote ni yangu.
Shirikisha
Soma Kutoka 19