Kutoka 16:12
Kutoka 16:12 Biblia Habari Njema (BHN)
“Nimeyasikia manunguniko ya Waisraeli. Basi, waambie kwamba wakati wa jioni watakula nyama, na asubuhi watakula mkate. Hapo ndipo mtakapotambua kuwa mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.”
Shirikisha
Soma Kutoka 16Kutoka 16:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nimeyasikia manung'uniko ya wana wa Israeli; haya sema nao ukinena, Wakati wa jioni mtakula nyama, na wakati wa asubuhi mtashiba mkate; nanyi mtajua ya kuwa mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.
Shirikisha
Soma Kutoka 16